Ignas wa Loyola
Ignas wa Loyola (kwa Kieuskara Inigo Loiolakoa, kwa Kihispania Ignacio de Loyola; Loyola, Guipúzcoa, leo nchini Hispania, 1491 - Roma, Italia, 31 Julai 1556) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki maarufu hasa kama mwanzilishi wa Shirika la Yesu na wa mtindo wa mazoezi ya kiroho.
Awali aliishi katika ikulu ya mfalme na katika jeshi, mpaka alipojeruhiwa vibaya vitani, ndipo alipomuongokea Mwenyezi Mungu. Akiwa anasoma teolojia huko Paris, alipata wenzake wa kwanza, ambao pamoja nao alianzisha shirika jipya huko Roma, alipofanya utume wenye matunda mengi, akiandika vitabu na kulea wafuasi kwa utukufu mkubwa zaidi wa Mungu.
Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri tarehe 27 Julai 1609, halafu Papa Gregori XV alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Machi 1622.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].
Sala yake
[hariri | hariri chanzo]Pokea, Bwana, hiari yangu yote.
Pokea kumbukumbu, akili na utashi wote.
Vyovyote nilivyonavyo au kuvimiliki nimejaliwa na wewe: nakurudishia vyote na kuukabidhi utashi wako uvitawale.
Unijalie tu upendo wako na neema yako, nami nitakuwa tajiri kutosha, nisitamani kitu kingine chochote.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Maandishi
[hariri | hariri chanzo]- The Spiritual Exercises of St Ignatius, TAN Books, 2010. ISBN 9780895551535
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- A. JOU, S.J., Kazaliwa Kupigana Vita, Simulizi juu ya Mt. Inyasi wa Loyola kwa ajili ya Vijana (hasa wa kiume) – tafsiri ya Ofisi ya Taifa ya Utume wa Sala, Tanzania – ed. Ofisi ya Taifa ya Utume wa Sala, Tanzania – Dodoma 2001 – ISBN 0856-5589
Marejeo mengine
[hariri | hariri chanzo]Muhimu zaidi
- Loyola, (St.) Ignatius (1964). The Spiritual Exercises of St. Ignatius. Anthony Mottola. Garden City: Doubleday. ISBN 9780385024365.
- Loyola, (St.) Ignatius (1992). John Olin (mhr.). The Autobiography of St. Ignatius Loyola, with Related Documents. New York: Fordham University Press. ISBN 082321480X.
- Foss, Michael (1969). The Founding of the Jesuits, 1540. Turning Points in History Series. London: Hamilton. ISBN 0241015138.
Mengine
- Bartoli, Daniello (1855). History of the Life and Institute of St. Ignatius de Loyola: Founder of the Society of Jesus. New York: Edward Dunigan and Brother.
- Caraman, Philip (1990). Ignatius Loyola: A Biography of the Founder of the Jesuits'. San Francisco: Harper & Row. ISBN 0062501305.
- O'Malley, John W. (1993). The First Jesuits. Cambridge: Harvard University Press. ISBN 0674303121.
- Meissner, William (1992). Ignatius of Loyola: The Psychology of a Saint. New Haven: Yale University Press. ISBN 0300060793.
- García Villoslada, Ricardo (1986). San Ignacio de Loyola: Nueva biografía (kwa Spanish). La Editorial Católica. ISBN 8422012677.
{{cite book}}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
Historia ya maisha yake
[hariri | hariri chanzo]- Life of St. Ignatius of Loyola, TAN Books, 1997. ISBN 9780895553454
- St. Ignatius of Loyola, TAN Books, 2008. ISBN 9780895556240
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- "St. Ignatius of Loyola, Confessor", Butler's Lives of the Saints
- The Life of St. Ignatius of Loyola, Confessor & Founder of the Jesuits Archived 18 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- Shughuli au kuhusu Ignas wa Loyola katika maktaba ya WorldCat catalog
- Biography of Ignatius of Loyola
- The Spiritual Exercises of St. Ignatius Archived 19 Juni 2012 at the Wayback Machine. Translation by Elder Mullan, S.J.
- Letters of St. Ignatius of Loyola
- St. Ignatius Loyola and Opus Dei
- "Contemplation to Attain Love", by Ignatius of Loyola
- The Goa Jesuit Province of the Society of Jesus
- Founder Statue in St Peter's Basilica
- FamiliaIgnaciana.com - Comunidad de Ignacianos en los Estados Unidos
- Saint Ignatius' College
- Finding God In All Things Archived 13 Desemba 2010 at the Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |