Nenda kwa yaliyomo

Peter Paul Rubens

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rubens and mke wake Isabella Brant

Pieter Pauwel (Peter Paul) Rubens (28 Juni 157730 Mei 1640) alikuwa mchoraji mashuhuri Mholanzi wa Flandria wakati wa karne ya 17.

Alikuwa kati wachoraji wa Ulaya waliojulikana sana akaongoza karahana kubwa mjini Antwerpen alipochora picha zake kwa msaada wa wasaidizi wake. Alikuwa pia mtaalamu mwenye elimu nzuri akatumiwa kama balozi na wafalme wa Hispania na Uingereza.