Salvatore wa Horta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kifo cha Salvador wa Horta, San Miguel Zinacantepec, Mexico.

Salvatore wa Horta ni jina la kitawa la Salvador Pladevall i Bien (Santa Coloma de Farners, Girona, Hispania, Desemba 1520 - Cagliari, Italia, 1567), alikuwa bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Wareformati anayejulikana kwa kufanya miujiza mingi ajabu (inasemekana milioni moja).

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salvatore wa Horta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.