Angela Merichi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Anjela Merichi)
Angela Merichi (21 Machi 1474 – 27 Januari 1540) alikuwa mtawa nchini Italia.
Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 27 Januari[1].
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Angela Merichi alizaliwa eneo liitwalo Desenzano, karibu na mji wa Brescia nchini Italia, tarehe 21 Machi, mwaka 1474.
Alifuata kanuni za Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko, akawakusanya pamoja wasichana, ambao aliwafundisha kutenda matendo ya huruma.
Mwaka 1535, huko Bresha, alianzisha shirika la Waursula, chama cha wanawake waliojishughulisha kuwafundisha wasichana maskini jinsi ya kuwa Wakristo wema.
Alifariki mwaka 1540.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Q. Mazzonis, "The Impact of Renaissance Gender-Related Notions on the Female Experience of the Sacred: The Case of Angela Merici's Ursulines," in Laurence Lux-Sterritt and Carmen Mangion (eds), Gender, Catholicism and Spirituality: Women and the Roman Catholic Church in Britain and Europe, 1200-1900 (Basingstoke, Palgrave Macmillan, 2011),
VIungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Catholic Encyclopedia: St. Angela Merici
- Founder Statue at St. Peter's Basilica
- Places in the life of St. Angela Merici Ilihifadhiwa 8 Mei 2006 kwenye Wayback Machine.
- St. Angela Merici Ilihifadhiwa 22 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
- Ursuline Sisters of Cincinnati follow her teachings: St. Angela Merici Ilihifadhiwa 26 Januari 2012 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |