Yosefu Cafasso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Yosefu Cafasso.

Yosefu Cafasso (kwa Kiitalia Giuseppe Cafasso; 15 Januari 1811 - 23 Juni 1860) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mwanaharakati kutoka Piemonte, Italia.

Pamoja na watakatifu Yosefu Benedikto Cottolengo, Yohane Bosco, Maria Domenica Mazzarello na Leonardo Murialdo aliwajibika kukabili matatizo ya jamii katika mji mkuu wa ufalme wa Sardinia, Torino. Hasa alishughulikia wafungwa waliohukumiwa kufa.

Cafasso alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenye heri mwaka 1925, halafu na Papa Pius XII kuwa mtakatifu mwaka 1947.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.