Felix wa Cantalice
Mandhari
(Elekezwa kutoka Feliche wa Cantalice)
Felix wa Cantalice ndilo jina la kitawa la Felice Porri (Cantalice, Rieti, Italia, 1515 hivi - Roma 18 Mei 1587) aliyekuwa bruda wa urekebisho wa Ndugu Wadogo Wakapuchini, mwenye unyofu na ugumu wa maisha wa ajabu, ambaye kwa miaka 40 alifanya kazi ya ombaomba[1] kwa ajili ya watawa wenzake na kwa ajili ya fukara akieneza upendo na amani mjini Roma [2] [3].
Alitangazwa mwenye heri tarehe 1 Oktoba 1625 na mtakatifu tarehe 22 Mei 1712, wa kwanza wa shirika hilo kutangazwa hivyo.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ""Who is St. Felix of Cantalice?" Felician sisters International, May 17 2013". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-11-09. Iliwekwa mnamo 2023-03-09.
- ↑ ""Saint Felix of Cantalice", Felician Sisters of North America". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-23. Iliwekwa mnamo 2023-03-09.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/53750
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- Sala ya Kanisa ya Ki-fransisko - Benedictine Publications Ndanda - Peramiho, 1996, uk. 103-120
- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 170-171
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 451-455
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
