Kamili wa Lellis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mt. Kamili wa Lellis, M.I., pamoja na mgonjwa.

Kamili wa Lellis (Bucchianico, wilaya ya Chieti, Abruzzo, leo nchini Italia, 25 Mei 1550 - Roma, 14 Julai 1614) alikuwa padri na mwanzilishi wa shirika la kitawa maalumu kwa ajili ya huduma za wagonjwa: Watumishi wa Wagonjwa, kwa kifupi M.I.

Alitangazwa na Papa Benedikto XIV kuwa mwenye heri mwaka 1742, halafu mtakatifu mwaka 1746. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Julai.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  • St. Camillus [1]
  • From Dom Alban Butler's Lives of the Saints([2])
  • Profile by Archbishop Alban Goodier [3]
  • Website of the Camillians in the U.S.A. [4]
  • Website of the international Camillian Order [5]
  • Servants of St. Camillus Disaster Relief Services (SOS DRS)[6]
  • Founder Statue in St Peter's Basilica [7]
  • Catholic Encyclopedia: St. Camillus de Lellis[8]
  • Message of Pope Yohane Paulo II on the 450th anniversary of the birth of St. Camillus [9]
  • St. Camillo page at Christian Iconography