Yoana Fransiska wa Chantal
Mandhari


Yoana Fransiska wa Chantal (kwa Kifaransa Jeanne-Françoise Frémiot, Baronne de Chantal; (Dijon, Burgundy, Ufaransa, 28 Januari 1572 – Moulins, 13 Desemba 1641) ni maarufu kwa kuanzisha na kuongoza kwa busara shirika la kitawa la wanawake la Ziara ya Bikira Maria baada ya kufiwa mumewe ambaye alizaliana naye watoto sita, aliowalea Kikristo sana.
Baada ya kubaki mjane alifuata kasi sana njia ya ukamilifu chini ya uongozi wa Fransisko wa Sales, akijitosa katika matendo ya huruma hasa kwa fukara na wagonjwa[1].
Papa Benedikto XIV alimtangaza mwenye heri tarehe 21 Novemba 1751, halafu Papa Klement XIII alimtangaza mtakatifu tarehe 16 Julai 1767.
Sikukuu yake imehamishiwa tarehe 12 Agosti[2] kutoka 12 Desemba.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- Masomo ya Breviari - Sikukuu za Bwana, za Bikira Maria na za Watakatifu - Ndanda Mission Press 1978, uk 462-464
- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 445-446
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 235-237
- Maurice Soseleje, Kalendari yetu – Maisha ya Watakatifu – Toleo la pili – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1986 – ISBN 9976-63-112-X, uk. 67
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- St. Jane Frances de Chantal Archived 2005-04-22 at the Library of Congress Web Archives at Saint of the Day
- The Life of Saint Jane Frances de Chantal Ilihifadhiwa 8 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine.
- St. Jane Frances de Chantal at Catholic Online
- Saint Jeanne de Chantal Ilihifadhiwa 16 Juni 2008 kwenye Wayback Machine. at Patron Saints Index
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
