Dulse Pontes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Dulse mwaka 1935.

Dulse Pontes, kwa jina la awali Maria Rita de Souza Pontes (Salvador, Bahia, Brazil, 26 Mei 1914 – Salvador, 13 Mei 1992) alikuwa mtawa Mfransisko ambaye alianzisha taasisi kwa ajili ya fukara.

Alitangazwa na Papa Benedikto XVI kuwa mwenye heri tarehe 22 Mei 2011[1][2], halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 13 Oktoba 2019[3], akiwa mwanamke wa kwanza kutoka Brazil.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Gaetano Passareli: Irmã Dulce, o Anjo Bom da Bahia (Editora Record; ISBN|85-01-06654-0)
  • Nathan A Haverstock: Give us this day; the story of Sister Dulce, the angel of Bahia (Appleton-Century)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.