Horikawa wa Japani
Mandhari
(Elekezwa kutoka Horikawa)
Horikawa (8 Agosti, 1079 – 9 Agosti, 1107) alikuwa mfalme mkuu wa 73 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Taruhito, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno Shirakawa. Mwaka wa 1087 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Toba.
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Horikawa wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |