Nenda kwa yaliyomo

Keely Shaye Smith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Keely Shaye Smith
Amezaliwa 25 Septemba 1963
California, Marekani
Kazi yake Mwanahabari
Kipindi 1986–hadi leo
Ndoa Pierce Brosnan (2001–hadi leo)
Watoto 2


Keely Shaye Smith (amezaliwa tar. 25 Septemba 1963) ni mwandishi wa habari kutoka Marekani. Ameolewa na muigizaji filamu Pierce Brosnan mnamo tar. 4 Agosti mwaka 2001, baada ya mkewe Brosnan wa kwanza Cassandra Harris kufariki dunia. Kwa pamoja wana watoto wawili wa kiume, na pia Brosnan ana watoto wengine wawili aliozaa na marehemu Cassandra Harris.

Smith anatoa huduma kama mwandishi aliyepokea kipindi cha Televisheni kilichokuwa kinatangazwa na mtangazaji "Robert Stack" ambaye alifariki dunia tarehe 14 Mei 2003. Kipindi kilikuwa kinaitwa "Unsolved Mysteries", kilichokuwa kinarushwa hewani na Televisheni ya "Lifetime" hadi 1997.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Keely Shaye Smith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.