Donnie Yen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Donnie Yen

Amezaliwa 27 Julai 1963 (1963-07-27) (umri 60)
Guangzhou, China
Miaka ya kazi 1983 - hadi leo
Ndoa Cissy Wang Ci Ci (mke wa sasa)
Tovuti rasmi

Donnie Yen Chi-Tan (Kichina: 甄子丹; Pinyin: Zhēn Zǐdān; amezaliwa tar. 27 Julai 1963) ni mwigizaji, martial artist, mwongozaji, mkoreografia, na mtayarishaji wa filamu kutoka Jamhuri ya Watu wa China. Anafahamika sana kwa kucheza filamu na vipindi vya televisheni vya Hong Kong. Hivi karibuni amepata kushirikiana na waigizaji filamu waliomashuhuri duniani kama vile Jackie Chan, Jet Li na Michelle Yeoh.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donnie Yen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.