Jackie Chan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jackie Chan

Jackie Chan
Amezaliwa 7 Aprili, 1954
Kazi yake mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini China.

Jackie Chan (amezaliwa tarehe 7 Aprili, 1954) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini China.

Alijipatia umaarufu kupitia uigizaji wa kweli wa filamu tofauti za Kichina zenye kuchangamsha, kuchekesha na kutoa mafunzo kadhaa kwa ajili ya jamii. Ili kuzuia uhalifu kwa sanaa na kupokea na kutoa rushwa kwa viongozi wa nchi.

Chan Kong Sang, maarufu kama Jackie Chan, ameku amejulikana sana huko Hong Kong kama muigizaji, mchekeshaji, mwanamziki na mruka sarakasi. Amejifunza Wushu au Kung fu na Hapkido. Amekuwa anaigiza katika ya sitini na ameonekana katika zaidi ya filamu mia moja hamsini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jackie Chan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.