Nenda kwa yaliyomo

Alberto Hurtado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi.

Alberto Hurtado Cruchaga, S.I. (22 Januari 190118 Agosti 1952) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtawa wa Shirika la Wajesuiti kutoka nchi ya Chile.

Alisoma sheria na kujitahidi kwa ajili ya mafukara nchini mwake, akianzisha taasisi ili kuwapa nyumba halisi wasio na makazi na wazururaji, hasa watoto[1].

Sababu ya kifo chake ilikuwa saratani.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 14 Oktoba 1994; halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza kuwa mtakatifu tarehe 23 Oktoba 2005.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Maandishi yake muhimu zaidi

[hariri | hariri chanzo]
  • ¿Es Chile un pais católico? (English: Is Chile a Catholic country?), Santiago (Chile), 1941.
  • Humanismo social (English: Social humanism), Santiago (Chile), 1947.
  • El orden social cristiano en los documentos de la jerarquía católica (English: Christian social order in the documents of the Catholic hierarchy), 2 vol., Santiago (Chile), 1947.
  • Sindicalismo: historia-teoría-práctica (English: Syndicalism: History-Theory-Practice), Santiago (Chile), 1950.
  • CID, F.D.: El humanismo de Alberto Hurtado S.J., Santiago (Chile), 1975.
  • LAVIN, A.: El P.Hurtado, amigo y apostol de los jovanes, Santiago (Chile), 1978.
  • GILFEATHER, Katherine A.: Alberto Hurtado, a man after God's Heart, Santiago (Chile), 2004.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/90067