Lev Landau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lev Landau

Lev Davidovich Landau (22 Januari 19081 Aprili 1968) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Alichunguza vipengele vingi vya fizikia, hasa upande wa atomu, nyota, halijoto chini na kadhalika. Mwaka wa 1962 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lev Landau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.