George Bernard Shaw
Mandhari
George Bernard Shaw (26 Julai 1856 – 2 Novemba 1950) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ireland. Hasa aliandika tamthiliya na insha. Mwaka wa 1925 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu George Bernard Shaw kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |