Ronano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Ronano (aliishi karne ya 7 hivi) alikuwa askofu sehemu za Quimper (Bretagne, leo nchini Ufaransa) lakini alitokea Ireland akaishi kama mkaapweke msituni[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[2][3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Juni[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/55540
  2. Cartulaire de l’abbayé de Sainte-Croix de Quimperlé, ed. Maître and Léon, pp. 138–40.
  3. Smith (1990), "Oral and written", pp. 329–30.
  4. Martyrologium Romanum

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo vikuu
Vyanzo vingine

Marejeo mengine[hariri | hariri chanzo]

  • Bourgès, André-Yves (2006). "Robert d'Arbrissel, Raoul de la Fûtaie et Robert de *Locunan: la trinité érémitique bretonne de la fin du 11e siècle". Britannia Monastica 10: 9–19. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-16. Iliwekwa mnamo 2023-08-14. 
  • Lapidge, Michael; Sharpe, Richard; Mac Cana, Proinsias (foreword), wahariri (1985). A Bibliography of Celtic-Latin Literature, 400–1200. RIA Dictionary of Medieval Latin from Celtic Sources. Ancillary Publications 1. Dublin: Royal Irish Academy. 
  • Merdrignac, B. (1979). "Saint Ronan". In M. Dilasset. Un pays de Cornouaille: Locronan et sa région. Paris: Nouvelle Librairie de France. pp. 190–51.
  • Ó Riain, Pádraig (1995). "Saint Ronan de Locronan: le dossier irlandais". Saint Ronan et la Tromenie (colloque de Locronan 1989). Locronan. pp. 157–8.
  • Poulin, Joseph-Claude (2009). L'hagiographie bretonne du haut Moyen Âge: répertoire raisonné. Beihefte der Francia 69. Ostfildern. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.