Didius Julianus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shaba inayoonyesha Didius Julianus

Marcus Didius Salvius Julianus Severus (133 au 137 – 1 Juni 193) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 28 Machi 193 hadi kifo chake.

Alimfuata Pertinax aliyemuua lakini akaondoshwa madarakani na Septimius Severus na kuuawa kisheria.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Didius Julianus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.