Ghil'ad Zuckermann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Profesa Ghil'ad Zuckermann, D.Phil. (Oxon.), 2011

Ghil'ad Zuckermann (*1 Juni 1971) (D.Phil., Oxford, 2000; Ph.D., Cambridge, 2003) ni mtaalamu wa isimu (sayansi inayochunguza lugha) mwenye asili ya Kiyahudi kutoka nchi ya Israel, Italia, Uingereza na Australia.

Tangu 2011 amekuwa profesa kwenye chuo cha Chuo Kikuu cha Adelaide, Australia Kusini, Australia.[1][2][3]

Maandishi yake ya kisayansi[hariri | hariri chanzo]

Vitabu[hariri | hariri chanzo]

Vinginevyo[hariri | hariri chanzo]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Alex Rawlings, 22.3.2019, BBC Future, The man bringing dead languages back to life ("Ghil'ad Zuckermann has found that resurrecting lost languages may bring many benefits to indigenous populations – with knock-on effects for their health and happiness").
  2. Sarah Robinson, 11.3.2019, The LINGUIST List, Featured Linguist: Ghil‘ad Zuckermann Archived 25 Machi 2019 at the Wayback Machine..
  3. Dr Anna Goldsworthy on the Barngarla language reclamation, The Monthly, 9.2014.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]