Nenda kwa yaliyomo

Eneko wa Onya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kupalizwa Bikira Maria na Mt. Eneko, mchoro wa Francisco de Goya y Lucientes.

Eneko wa Onya, O.S.B. (pia: Íñigo, Enecus, Ennecus, Innicus, Enecón; Calatayud, 1000 hivi[1]; Oña, 1 Juni 1068) alikuwa mkaapweke wa Hispania kabla hajaanza urekebisho wa monasteri ya Wabenedikto kwa ombi la mfalme na kuishia kama abati wa Oña.

Mtu wa amani, alipofariki alililiwa na Wayahudi na Waislamu pia[2].

Papa Aleksanda IV alimtangaza mtakatifu tarehe 18 Juni 1259.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Juni[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "San Inigo abad de Ona en Calatayud". Turismo de Zaragoza. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-09. Iliwekwa mnamo 28 Aprili 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/55542
  3. Martyrologium Romanum
  • Juan Bautista Dameto, José María Sánchez Molledo, and Francisco Javier Lorenzo de la Mata. 2000. Historia de San Íñigo, Abad del Real Monasterio de San Salvador de Oña. Calatayud: Departamento de Cultura, ISBN 84-606-3013-7.
  • Ángel Canellas López. 1979. "García Sánchez de Nájera, Rey de Pamplona (1035–1054)." Cuadernos de investigación: Geografía e historia, 5(2):135–156.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.