Yohane Mbatizaji Scalabrini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi.

Yohane Mbatizaji Scalabrini (Fino Mornasco, Como, 8 Julai 1839Piacenza, 1 Juni 1905) alikuwa askofu mmojawapo wa Kanisa Katoliki huko Italia Kaskazini na mwanzilishi wa mashirika ya Wamisionari wa Mt. Karolo na Masista Wamisionari wa Mt. Karolo kwa ajili ya wahamiaji nchini Marekani[1].

Alistawisha jimbo la Piacenza kwa kila namna, aking'aa kwa juhudi zake kwa ajili ya mapadri, wakulima na wafanyakazi wenye kipato cha chini[2][3].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 9 Novemba 1997 na Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 9 Oktoba 2022.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Blessed John Baptist Scalabrini". Saints SQPN. 26 May 2015. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 October 2022. Iliwekwa mnamo 4 February 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Biographies of New Blesseds - 1997". EWTN. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 January 2017. Iliwekwa mnamo 4 February 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "The Blessed John Baptist Scalabrini". Scalabrinians: Asia-Pacific Province of Saint Frances Xavier Cabrini. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 February 2017. Iliwekwa mnamo 4 February 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Francesconi, Mario (2007) [1985]. "Cause of canonisation of the Servant of God John Baptist Scalabrini Bishop of Piacenza and founder of The Missionary Brothers and Sisters of Saint Charles Borromeo". Katika Visentin, Joseph. Virtues of the Servant of God John Baptist Scalabrini (pro manuscriptu). Translated into English by Martino Bortolazzo (toleo la revised). Rome: Office of Postulator of the Scalabrinian Missionaries (ilichapishwa mnamo 2012). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 February 2014. Iliwekwa mnamo 2013-12-05.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.