Judo
Jump to navigation
Jump to search
Judo (jap. 柔道|柔道]] jūdō) aina ya michezo ya mapigano kutoka nchini Japan iko pia kati ya michezo ya Olimpiki.[1] Ilianzishwa mwaka 1882 na Jigorō Kanō.[2]
Judo ni mchezo wa kifalsafa unaoathiriwa na mafundisho ya Ubuddha. kati ya misingi yake si kumshambulia mpinzani lakini kutumia nguvu ya mpinzani kw kumshinda.[3]
Historia[hariri | hariri chanzo]
Judo ilianzishwa kwenye msingi wa mchzo wa mapigano ya kale zaidi inayoitwa Jujutsu.[4]
Jujutsu ilikuwa mchezo wa makabaila na askari wa Japani ya Kale iliyofundisha kumshinda mpinzani hadi kumwua. Kano aliondoa sehemu hatari akaunda Judo.
Kurasa husika[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Nussbaum, Louis-Frédéric. (2005). "Judo" in Japan Encyclopedia, p. 435.
- ↑ Nussbaum, "Kanō Jigorō " at p. 477.
- ↑ Ohlenkamp, Neil. "Forms of Judo (Kata)," JudoInfo.com; retrieved 2012-2-27.
- ↑ Nussbaum, "Jū-jutsu" at p. 435.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: