Walter wa Servigliano
Mandhari
Walter wa Servigliano (kwa Kiitalia: Gualtiero; alifariki Servigliano, Italia ya Kati, 1250 hivi) alikuwa mkaapweke ambaye hatimaye alianzisha huko monasteri [1][2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Juni.[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ St. Walter Catholic Online
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/98268
- ↑ Martyrologium Romanum