Pedrog

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Pedrog katika kioo cha rangi.

Pedrog (kwa Kiwelisi; pia: Petroc, Petrocus, Petrek, Perreux; 468 hivi[1] - 564 hivi) alikuwa mwanamfalme[2] na mmonaki wa Welisi, halafu mmisionari huko Cornwall alipokuwa ameanzisha monasteri na shule yake)[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waanglikana na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Juni[4][5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "EBK: St. Petroc, Abbot of Padstow". www.earlybritishkingdoms.com. 
  2. "Book of Saints – Petrock". 20 October 2016.  Check date values in: |date= (help)
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92830
  4. Martyrologium Romanum
  5. "The Calendar". The Church of England (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 27 March 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.