Thoma wa Cori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Thomas wa Cori)
Jump to navigation Jump to search

Thoma wa Cori (Cori, 4 Juni 1655 - 11 Januari 1729), alikuwa padri wa shirika la Ndugu Wadogo na mhubiri maarufu.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu tangu tarehe 21 Novemba 1999, alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thoma wa Cori kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.