Nenda kwa yaliyomo

Thoma wa Cori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Thoma wa Cori.
Thoma wa Cori akielea hewani (sehemu ya mchoro wa mwaka 1786).

Thoma wa Cori (Cori, 4 Juni 1655 - 11 Januari 1729) alikuwa padri wa shirika la Ndugu Wadogo na mhubiri maarufu aliyeanzisha makao mbalimbali upwekeni na kuishi kwa toba kali[1].

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu tangu tarehe 21 Novemba 1999, alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.