Nikola na Trano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nikola na Trano (waliishi karne ya 12 hivi) walikuwa wakaapweke katika kisiwa cha Sardinia, katika Italia ya leo[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 4 Juni[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/55770
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.