Nenda kwa yaliyomo

Iyasu V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Iyasu V

Iyasu V (4 Februari 188725 Novemba 1935) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia mwaka 1913 hadi 27 Septemba 1916. Alimfuata babu yake, Menelik II. Jina lake la kubatizwa lilikuwa Kifle Yaqub.

Kwa vile alipendekeza imani ya Kiislamu hakuvishwa taji na alizuliwa. Aliyemfuata ni shangazi yake, Zauditu. Hali ya kifo chake haijulikani. Kilitangazwa mwezi wa Machi 1936 tu.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iyasu V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.