Hugo Birger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hugo Birger (12 Januari 1854 - 17 Juni 1887) alikuwa mchoraji kutoka Uswidi. Yeye alikuwa mwanafunzi katika shule ya sanaa mjini Stockholm. Mwaka 1887 alipata medali kwa picha zake Syndafallet (kuanguka ya mwanadamu). Uchoraji zake unapatikana katika Jumba la Sanaa la Göteborg na Makumbusho ya Uswidi mjini Stockholm.


Mifano ya picha zake[hariri | hariri chanzo]


Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hugo Birger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.