Saint-John Perse

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Saint-John Perse alishinda Tuzo ya Nobel mwaka 1960

Saint-John Perse (31 Mei 188720 Septemba 1975) alikuwa mwandishi na mwanasiasa kutoka nchi ya Ufaransa. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Marie-René-Auguste-Aléxis Saint-Léger Léger. Hasa aliandika mashairi. Mwaka wa 1960 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saint-John Perse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.