Nenda kwa yaliyomo

Al Gore

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Al Gore

Al Gore (amezaliwa 31 Machi, 1948 mjini Washington, D.C.) ni mwanasiasa wa Marekani akiwa mwanachama wa Chama cha Kidemokrasia. Alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais Bill Clinton kuanzia mwaka wa 1993 hadi 2001. Mwaka wa 2007, Gore alipokea Tuzo ya Nobel ya Amani.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Al Gore kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.