John J. Pershing

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Joseph Pershing

John Joseph Pershing (13 Septemba 186015 Julai 1948) alikuwa jenerali wa jeshi kutoka nchi ya Marekani. Pia aliitwa “Black Jack”. Mwaka wa 1932, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake cha wasifu My Experiences in the World War.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John J. Pershing kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.