Steven Chu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Steven Chu

Steven Chu (amezaliwa 28 Februari 1948) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani akiwa na asili ya Kichina. Hasa alichunguza atomu kupitia kwa mionzi ya leza. Mwaka wa 1997, pamoja na Claude Cohen-Tannoudji na William Phillips alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Tarehe 21 Januari 2009 ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati katika serikali ya Rais Barack Obama.[1]


Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steven Chu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Obama chooses Nobelist Steven Chu as secretary of energy. berkeley.edu (2008-12-15). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-04-21. Iliwekwa mnamo 2016-06-01.