Nenda kwa yaliyomo

Carl Weathers

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carl Weathers, mnamo 2015.

Carl Weathers (amezaliwa tar. 14 Januari 1948) ni mwigizaji wa filamu na ni mchezaji mpira wa miguu wa zamani wa Kiamerika-Kanada. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa jina la Apollo Creed alilotumia kutoka katika mfululizo wa filamu ya The Rocky aliyocheza na nyota maarufu wa filamu Bw. Sylvester Stallone.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Weathers alizaliwa mjini New Orleans, Louisiana. Alipata elimu yake katika shule ya St. Augustine High School na baada ya hapo alielekea katika Chuo Kikuu cha San Diego. Nje ya maswala ya uigizaji, Weathers vilevile ni mwanachama wa Big Brothers na ni mmoja wa wanakamati ya Olympic ya Marekani. Mnamo mwezi wa Aprili ya mwaka wa 2007, Carl amemwoa Jennifer Peterson, mwandaaji wa dokumentary.

Filamu alizoigiza

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Jina la filamu Jina alilotumia Maelezo
2008 Phoo Action Police Chief Benjamin 'Ben' Benson TV series
2007 The Comebacks Freddie Wiseman/Narrator
2006 The Sasquatch Dumpling Gang Dr. Artimus Snodgrass
Spawn: The Animation Captain Edwards Tathilia ya TV, ametia sauti tu
2005 Alien Siege General Skyler
2004 - 2005 Arrested Development Carl Weathers Tamthilia ya TV
2002 Eight Crazy Nights GNC Guy ametia sauti tu
2000 Little Nicky Chubbs Peterson
1996 Happy Gilmore Chubbs Peterson
1993-1994 In the Heat of the Night Chief Hampton Forbes TV series
1992 Hurricane Smith Billy 'Hurricane' Smith
1991-1993 Street Justice Sgt. Adam Beaudreaux TV series
1989-1990 Tour Of Duty Col. Brewster TV series
1988 Action Jackson Sgt./Lt. Jericho "Action" Jackson
1987 Predator Major George Dillon
1986 Fortune Dane Fortune Dane TV series
1985 Rocky IV Apollo Creed
1982 Rocky III Apollo Creed
1981 Death Hunt Sundog/George Washington Lincoln Brown
1979 Rocky II Apollo Creed
1978 Force 10 from Navarone Sgt. Weaver
1977 Semi-Tough Dreamer Tatum
Close Encounters of the Third Kind MP
1976 Rocky Apollo Creed
The Four Deuces Taxi Cab Driver
1975 Bucktown Hambone
See, Pop? Aliyekuwa mwajiriwa wa pili wa kiwanda cha GlobaKett Hakuwa maarufu
Friday Foster Yarbro
  1. http://www.filmreference.com/film/72/Carl-Weathers.html
  2. http://en.wikipedia.org/wiki/Jimmy_Kimmel_Live
  3. http://www.imdb.com/title/tt0442688/

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]