Sylvester Stallone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sylvester Stallone

Sylvester Stallone mnamo 2012
Amezaliwa Sylvester Gardenzio Stallone
6 Julai 1946 (1946-07-06) (umri 77)
New York, Marekani
Kazi yake Mwigizaji, Mwongozaji, Mtunzi
Miaka ya kazi 1970–mpaka sasa
Ndoa Sasha Czack (1974–1985)
Brigitte Nielsen (1985–1987)
Jennifer Flavin (1997–mpaka sasa)

Sylvester Gardenzio Stallone[1] (amezaliwa tar. 6 Julai 1946), amepewa jina la utani kama Sly Stallone,[2] ni mshindi wa Tuzo za Academy - akiwa kama mwigizaji, mwongozaji na mwindishi-skrini bora wa filamu wa Kimarekani.

Huyu ni mmoja kati wa watu walioingiza fedha nyingi sana katika sanduku la ofisi kwa miaka ya 1970 na 1990. Sylvester Stallone, ni kioo na shujaa wa filamu za mapigano. Amecheza nyusika mbili ambazo ni mashuhuri sana: Rocky Balboa, mwana-masumbwi mmoja aliyeshinda mashindano kwa kupigana kwa upenzi na imani, na John Rambo, askari shupavu aliyefanya kazi za hatari vitani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Stallone proves there’s no show without punch Archived 7 Juni 2009 at the Wayback Machine., The Herald, 29 Januari 2007
  2. Sly Stallone. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-02-24. Iliwekwa mnamo 2009-09-19.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sylvester Stallone kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.