Susan Glaspell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Susan Glaspell

Amezaliwa 1 Julai 1876
Iowa, Marekani
Amekufa 27 Julai 1948
Massachusetts, Marekani
Nchi Marekani
Ndoa Norman Matson (1925-1932)
George Cram Cook (1913-1924†)

Susan Keating Glaspell (1 Julai 187627 Julai 1948) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1931, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake Alison's House ("Nyumba ya Alison").

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Susan Glaspell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.