Maxwell Anderson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Maxwell Anderson.jpg
Maxwell Anderson

James Maxwell Anderson (15 Desemba 188828 Februari 1959) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1933, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake Both Your Houses.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maxwell Anderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.