Otto Stern

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Otto Stern

Otto Stern (17 Februari 188817 Agosti 1969) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Wakati wa utawala wa Adolf Hitler alihamia Marekani. Hasa alichunguza usumaku wa atomu. Mwaka wa 1943 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Picha ya kuchongwa kwa Otto Stern kwenye chuo kikuu cha Frankfurt
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Otto Stern kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.