Frits Zernike

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Frits Zernike

Frits Zernike (16 Julai 188810 Machi 1966) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uholanzi. Hasa anajulikana kwa uvumbuzi wake wa hadubini iwezeshayo kuangalia vyembe hai. Mwaka wa 1953 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frits Zernike kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.