Shmuel Yosef Agnon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Shmuel Yosef Agnon

Shmuel Yosef Agnon (שמואל יוסף עגנון kwa Kiebrania; 17 Julai 188817 Februari 1970) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Israel. Alizaliwa nchini Poland na jina la Shmuel Yosef Halevi Czaczkes. Akiwa bado kijana alihamia Israel. Hasa aliandika riwaya, na lugha zake zilikuwa Kiebrania na KiYiddish. Mwaka wa 1966, pamoja na Nelly Sachs alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shmuel Yosef Agnon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.