Nenda kwa yaliyomo

Kitawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitawa ni aina ya chakula.

Utayarishaji

[hariri | hariri chanzo]

Utengenezaji

[hariri | hariri chanzo]

Ndizi humenywa na hukatwakatwa vijipande vidogo, hupikwa karibu na kuiva, huongezwa magadi vinapikwa vyote na kuiviana. Hupondwapondwa na kuwa laini kama ugali. Baada ya hapo huwekwa maziwa ya mgando, hukorogwa kwa kifaa kiitwacho kipekecho na kuwa laini kwa ajili ya matumizi.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]

Chakula hiki hupewa wanawake wakati wa uzazi, vijana wakati wa unyago, na wagonjwa. Chaweza kutumika kwa watu wa kawaida au watoto.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitawa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.