Emiliani wa Kuziko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Emiliani wa Kuziko (alifariki uhamishoni Kuziko, leo nchini Uturuki, 815 hivi) alikuwa askofu aliyedhulumiwa na kaisari Leo V wa Bizanti kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.