Iltruda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake huko Liessies.

Iltruda (Poitiers, Ufaransa, karne ya 8 - Liessies, Hauts-de-France, Ufaransa, 27 Septemba 800 hivi) alikuwa bikira Mkristo aliyekataa ndoa akaenda kuishi kama mkaapweke karibu na monasteri iliyoongozwa na kaka yake, abati Guntardi[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Recherches historiques sur Maubeuge par Z. Piérart, éd. le livre d'histoire, coll. monographie des villes et villages de France, page 257
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92700
  3. Martyrologium Romanum

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

  • Alban Butler, Vies des Pères, des martyrs et des autres principaux saints, traduit de l'anglais par l'abbé Godescard, 13 volumes, Toulouse 1808.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.