Nenda kwa yaliyomo

Bonoso wa Trier

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Bonoso wa Trier.

Bonoso wa Trier (alifariki 373) alikuwa askofu wa mji huo[1][2] wa Galia, leo nchini Ujerumani) kuanzia mwaka 353/358/361 hadi kifo chake.

Kama mtangulizi wake, Paulino wa Trier, alipigania imani sahihi pamoja na Hilari wa Poitiers dhidi ya Waario walioungwa mkono na serikali ya Dola la Roma[3].

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 17 Februari[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Ekkart Sauser : Saints and Blessed in the Diocese of Trier (1987).
  2. GCatholic.org Diocese of Trier
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/41360
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.