Benedikto wa Avignon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake katika kanisa kuu la Avignon.

Benedikto wa Avignon (pia: Bénézet, Benedict, Benezet, Benet, Benoît; Hermillon, Savoy, 1163 hivi - 1184) alikuwa mvulana aliyefanya kazi ya kuchunga katika maeneo ya Ufaransa Kusini Mashariki wa leo.

Kwa msaada wa Mungu aliwezesha ujenzi wa daraja muhimu juu ya mto Rhone huko Avignon[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Aprili[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • (Kiitalia) Pierre Péano, in G. Pelliccia e G, Rocca (curr.), Dizionario degli Istituti di Perfezione (DIP), vol. IV (1977), coll. 1359-1360.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. *Gross, Ernie. This Day in Religion. New York: Neil-Schuman Publishers, 1990. ISBN 1-55570-045-4.
  2. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.