Teodomiro wa Carmona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Teodomiro wa Carmona (Carmona, Sevilia, Hispania, karne ya 9 - Cordoba, Hispania, 25 Julai 851) alikuwa kijana mmonaki aliyeuawa na Waislamu waliotawala nchi hiyo [1][2][3].

Taarifa zake ziliandikwa na Eulogi wa Kordoba[4] [5].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Julai[6].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. GARCÍA RODRÍGUEZ, Antonio (1995). Consejo de hermandades y cofradías de Carmona, ed. Teodomiro. ISBN 84-605-3887-7.
  2. Watkins, Basil (2015). The Book of Saints: A Comprehensive Biographical Dictionary. Bloomsbury. uk. 709. ISBN 9780567664143. Iliwekwa mnamo 9 April 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/64260
  4. Latin writings of Eulogius pdf downloads at documentacatholicaomnia.eu
  5. Complete Works of Eulogius of Cordoba English translations of Eulogius' writings.
  6. Martyrologium Romanum

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

  • Tolan, John, Medieval Christian Perceptions of Islam, New York: Routledge, 2000. ISBN|0-8153-1426-4
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.