Petro, Dorotheo na Gorgoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mchoro mdogo wa kifodini cha Gorgoni [1].

Petro, Dorotheo na Gorgoni (walifariki Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki, 303) walikuwa Wakristo waliofanya kazi katika ikulu wa kaisari Dioklesyano katika mji huo ambao waliuawa kwa kulalamikia wazi mauaji ya Migdoni na wenzake[2].

Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 12 Machi[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Jacobi a Voragine (cur. Th. Graesse), Legenda aurea (Lipsia, 1850), p. 601.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/44690
  3. Martyrologium Romanum
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.