Yohane Sarkander
Mandhari
Yohane Sarkander, S.J. (Skoczów, Silesia, leo nchini Polandi, 20 Desemba 1576 – Olomouc, Moravia, leo nchini Ucheki, 17 Machi 1620) alikuwa padri wa Shirika la Yesu[1][2] aliyeuawa kwa kukataa kutoboa siri ya kitubio hata katika mateso makali ya mwezi mzima aliyoyapata kutoka kwa Waprotestanti[3][4].
Alitangazwa kuwa mwenye heri na Papa Pius IX tarehe 6 Mei 1860, halafu mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 21 Mei 1995.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Saint Jan Sarkander". Saints SQPN. 31 Mei 2016. Iliwekwa mnamo 2 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Saint John Sarkander". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 2 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "St. John Sarkander". Saint Kateri. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-15. Iliwekwa mnamo 2 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/45825
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |