Yona wa Marchiennes
Mandhari
Yona wa Marchiennes (pia: Jonatus au Jonath; alifariki katika eneo la Ufaransa Kaskazini wa leo, 690 hivi) alikuwa mmonaki chini ya Amando wa Maastricht, aliyemfanya abati wa Marchiennes, karibu na Douai (641[1]) naye akafanya monasteri yake iwe dabo, wanawake wakiongozwa naye pamoja na Rikitrude[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kuwa mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 1 Agosti[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Alexander O'Hara (2018), "Jonas of Bobbio, Marchiennes-Hamage, and the Regula cuiusdam ad virgines", katika Sébastien Bully; Alain Dubreucq; Aurélia Bully (whr.), Colomban et son influence: Moines et monastères du haut Moyen Âge en Europe, Presses universitaires de Rennes, ku. 287–293.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/65230
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |