Yosefu Pignatelli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Yosefu Pignatelli.

Yosefu Maria Pignatelli, S.J. (kwa Kihispania: José María Pignatelli; Zaragoza, Hispania, 27 Desemba 1737 - Roma, Italia, 15 Novemba 1811) alikuwa padri wa Shirika la Yesu aliyeandaa wanashirika kulianzisha upya baada ya kufutwa na serikali.

Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri tarehe 21 Mei 1933, halafu Papa Pius XII akamtangaza mtakatifu tarehe 12 Mei 1954.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yosefu Pignatelli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.